Sumatra: Makondakta na Madereva daladala Mbeya wanatoa lugha mbaya kwa abiria

Sumatra: Makondakta na Madereva daladala Mbeya wanatoa lugha mbaya kwa abiria

Kaunara

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
249
Reaction score
452
Kama kichwa cha habari kilivyo!

Makondakta na Madereva wa dala dala Mbeya wanatoa lugha mbaya sana kwa abiria. Sumatra waelimisheni abiria haki zao ndani ya dala dala acheni kushinda ofisini watu wanateseka barabarani.

Wekeni hata sticker zenye namba zenu na haki ambazo abiria akivunjiwa awatafute.
 
Back
Top Bottom