conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,129
- 790
Salaamu.
Sumatra wakati huu wanafunzi wanarudi majumbani kwa dharura ilipaswa mkague usalama na nauli zinazotozwa.
Msisahau bumu halijatoka kwa wengine wa vyuo vikuu. Pia wazazi ndo tumejikwamua ada kwa wanafunzi wa sekondari (January to March) inajulikana mifukoni peupe
Hoja ni Magari yanatoza cha juu elfu kumi hadi ishirini.
Utakuta nauli Dar-Singida elfu 33 watu wanapigwa 46. Au 38 au 40.nk Dar-Lushoto badala ya 15 mtu anapigwa 20 au ishirini na kitu.
Mtwara-Dar, Dar-Kilimanjaro ndo usiseme..
Hebu jaribu ili jamii ione umuhimu wenu la sivyo jamiii itawahisi mnashirikiana kupiga madili na mabasi.
Mjitambue haya majanga si likizo za kawaida