Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Madareva na makondakta wengi hawana customer care kwa abiria yani si unapoingia kwenye gari wala inapoharibika.wanakaa kimya tu wakati wanatakiwa kumwambia abiria samahani gari imeharibika lakini tunafanya jitihada za matengenezo ili tuendelee na safari.lakini wao wanakaa kimya tu abiria ndiyo wajipngeze.hawaelezi kama gari utakuja kuhaulisha hivyo tu.SUMATRA haki za abiria na nafikiria mpo hapa naomba mje kutoa ufafanuzi .
KUMBE LATRASUMATRA na magari tangu lini?
Au unamaanisha LATRA?
Tumia gari lako, kwenye usafiri wa aina hio utalalamika hadi mwisho wa maisha yako.
Ujumbe haujaeleweka au unadhani hapa clubhouse?Mbona hujui kuandika vizuri?
Shida nini?