Hizi nchi za dunia ya3 ni mpaka madhara yatokee ndio tunatafuta utatuzi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona Mkuu, kila siku askari wapo mbele ya kamera wakijifanya wako kwenye ukaguzi, je ni ukaguzi gani wanafanya kama si kujipambanua tu
Hao jamaa wapo serious kwenye kuandikia tiketi madereva wa vipaso na ist huku mjini wakivuka zebra au hata akipita na gari imewasha mziki mkubwa..... Mabwege kweli
Sent using Jamii Forums mobile app