dudulayuyu
New Member
- Sep 20, 2021
- 4
- 14
Daladala za Kichangani zinatoza nauli 1000 ilihali mlangoni pameandikwa 600 ,mwanafunzi anatozwa mia nne 400 ilihali mlangoni ni 200.
Daladala zimeanzisha route ya kichangani mzimu hodi bila kibali mwanafunzi akipanda daladala kutoka mjini gari zikifika kichangani wanafunzi wanaambiwa waongeze 200 nyingine ili wafikishwe makwao na watu wazima waongeze 400, je nauli hii imepangwa na Sumatra au wameamua wenyewe?
Tangu lini mwanafunzi akalipa 400 kwenye daladala? naomba mlifatilie hili Sumatra