Loreen Senior Member Joined Dec 24, 2011 Posts 110 Reaction score 32 Jan 23, 2012 #1 habarini wanajf ,nilikuwa na ulizia kwa mwenye taarifa za sumatra,wameshaita interview na mishahara yao ikoje? ka waasibu. asanteni!
habarini wanajf ,nilikuwa na ulizia kwa mwenye taarifa za sumatra,wameshaita interview na mishahara yao ikoje? ka waasibu. asanteni!
M Mopalmo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 534 Reaction score 139 Jan 23, 2012 #2 Hata mi nasikilizia hiyo kitu mwenye info plse
N Naitwa Nani Member Joined Dec 18, 2011 Posts 29 Reaction score 2 Jan 24, 2012 #3 Hata mimi pia nasikilizia kengele ipigwe!!