mukandarasi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 932
- 275
Acha upuuzi! umekwisha sema hukumbuki ni nchi gani aliongelea,sasa tunauhakika gani kuwa unakumbuka kuwa ni Sumaye au Rais Kikwete?No data no research no right to speak, wa kwanza kuulizwa swali hili alikuwa ni Sumaye ila sikumbuki alikuwa nchi gani ya Ulaya, lakini alikuwa tayari ni Waziri Mkuu mstaafu. nina hakika na hili kwa asilimi 1000.
Akili ya Sumaye ilishachoka siku nyingi, alishawahi kuhojiwa ni kwa nini Tanzania ni maskini akajibu hata yeye hajui ni kwa nini, imagine miaka 10 kama Waziri Mkuu hujui nchi ni kwa nini maskini ulikuwa unafanya nini kwenye hiyo nafasi?
Rasimu ya katiba mpya ni maoni yetu Wananchi yeye akafie Uyole kama anadhani hizi bado ni enzi za haambiliki.
Unafahamu kama jambo hilo limemsha nyerere?nani mwengine atakeweza kuifanya z'br jimbo?hapa piga ua hatutaki serikali tatu ambayo ni mzigo kwetu tunataka serikali moja tu na zanzibar liwe mkoa au jimbo na siyo nchi.
wewe unayesema serikali mbili ni Mzenji tu!!! Moja au tatu tukama tunataka muungano ni aidha serekali moja ama mbili, laa sivyo ya ussr yatajirudia kuna raisi atakosa nji ya kuongoza!
Nimemsikia Frederick Sumaye akisema Serikali tatu ni mzigo kwa Tanzania ambayo uchumi wake si mkubwa. Anasema hata waasisi wa Muungano waliliona hilo. Amezungumza akiwa Afrika Kusini.
chanzo: BBC
Angalizo: Nadhani ana hoja
wewe unayesema serikali mbili ni Mzenji tu!!! Moja au tatu tu
Kuna watu wameshaanza tayari ,nina uhakika watu hawa wanatumiwa.
Wanapinga Rasimu ya Serikali tatu kwa kigezo cha Gharama.
Eti Nchi itakuwa na Gharama Kubwa ku Run na Marais wa Tatu.
Watu kama hawa wanastahili Kukumbushwa kuwa kwa Sasa Nchi ina Ma Rais wa Tano na Wa Tatu wanatokea zanzibar.
Watu hawa wamekuwa wapofu kuona kuwa Tume ya Warioba imependekeza Baraza lenye Ma Waziri wasiozid 15.
Kwa Sasa Baraza lina Zaid ya Mawaziri 45, Mbona hawasemiGharama kubwa za ku Run the Current Baraza la Mawaziri?????
Hawaoni kuwa kwa Kupunguza Baraza la Mawaziri Mpaka 15 tUtakuwa tumeokoa Kiasi kikubwa sana Cha Fedha.
Watu wanaopinga Serikali 3 Hawastahili kuishi Tanzania,
TUSIMAME KUWAPINGA HAWA WACHUMIA TUMBO
mbona mi nakubali serekali tatu: Tanganyika, Pemba na Unguja! Kila mtu na chake yaishe!
Akili yako imejaa matope. Aliyeulizwa kwa nini nchi ni masikini akashindwa kujibu ni jk.