Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 Mar 15, 2010 #22 AAAgh hafai hata kwa dawa, tunahitaji watu wengine na si hawa waliokwisha tuibia
D damn JF-Expert Member Joined Feb 22, 2010 Posts 582 Reaction score 81 Mar 15, 2010 #23 Nanu said: he is smart. he can be a president, why not? Click to expand... you cant be serious
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Mar 15, 2010 #24 Huyu shosti si ndiye aliyejikopesha kutoka kwenye fuko la wastafu milioni hamsini, wakati huohuo wastaafu wanapigwa danadana kupata haki yao. Shame on him
Huyu shosti si ndiye aliyejikopesha kutoka kwenye fuko la wastafu milioni hamsini, wakati huohuo wastaafu wanapigwa danadana kupata haki yao. Shame on him
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,052 Mar 15, 2010 #25 anatofauti gani na jeikei?
M Mchili JF-Expert Member Joined Aug 19, 2009 Posts 725 Reaction score 48 Mar 15, 2010 #26 Lumbe said: Nani mwenye mikono misafi anayefaa kuwa rais TZ kwa sasa? Click to expand... Mimi hapa
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,357 Mar 15, 2010 #27 hivi yule Waziri Mkuu Mstaafu aliyekuwa na kakashfa ka chinichini ka kula "TGIO" ya mwanasaiasa wa Upinzani alikuwa ni nani?
hivi yule Waziri Mkuu Mstaafu aliyekuwa na kakashfa ka chinichini ka kula "TGIO" ya mwanasaiasa wa Upinzani alikuwa ni nani?