Sumaye: Tatizo si Katiba, bali kasi ya Mabadiliko....

Haki sawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
4,781
Reaction score
3,210
Katika gazeti la NIPASHE la leo Sumaye ameandika makala yake iliyowekwa katika uk.7 , ijayo sema kuwa tatizo si katiba, bali ni kasi ya mabadiliko, amekiri Kuwa makamu wa Rais hana kazi na hata anapata umakamu huo bila Jasho! Endeleza kuisoma hapa chini.....
 

kama vile kanaingia akilini kidogo
 
Hata kama umechelewa kutuwekea hiyo article, Mr. Zero hajakosea. Ni baadhi ya nafasi zinazotumia kodi zetu tu kwa ajili ya kupendeza tu vikundi vya watu katika nchi
 
hata kama yuko sahihi lakini kuna kitu anakitafuta,why now?
 
Huyu nae! Katiba inayoruhusu Rais kuwachagulia uongozi wanachama wa Taasisi mbalimbali kama NSSF, PSPF n.k. kuwa siyo tatizo!
 
Yuko sawa kabsa!, lakn nahis kuna kitu kalenga (ugombea binafsi)
 

Chini wapi? wewe andika habari iliyokamilika
 
Mabadiliko keshayapata kwa Dr Magu
 
This time you trying to say things you should do before when you was PM. You were part of government and you did nothing at all. Tema mate chini mwambie mungu akusamehe. Watanzania mnachanganywa na watu ambao tayari mlishaona utendajikazi wa vipindi vyao. Mimi naona sumaye ni bora akatulia na kuacha propaganda za kuwalagai wanyonge! !
 
Sijawahi muunga mkono sumaye ila simuungi mkono kwa yote aliyosema ninachomuunga mkono ni kuwa tatizo sio katiba nchi nyingi tu duniani hazina katiba kabisa ikiwemo uingereza haijawahi kuwa na katiba ya nchi lakini imeendelea bila katiba kwa hili namwuuunga mkono sumaye tatizo si katiba. Bravo sumaye kwa hili you are a Great thinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…