DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
I
As for investment, he is a bit late.While people are moving away from commodity dependent economies and towards "knowledge work" he is still advocating commodities, even after the so called Harvard degree.
Huwezi kujua, huyu pia alikuwa tajiri mkubwa katika kipindi kifupi sana, si ajabu naye alihusika katika kuifisadi Tanzania. Watakapoanza kutajana usishange na huyu naye kama jina lake litakuwemo.
Siku hizi amekuwa mfanyabiashara mkubwa sana, kila siku yupo NY sasa ninajiuliza hivi hawa viongozi wanapokuwa kwenye power ni nini kinachowashinda kutumia hizo akili za biashara kulisaidia taifa letu, akili ambazo wanakuwa hawana wanapoingia kwenye power, ila wanazipata baada tu ya kutoka kwenye power!
Huyu mkulu wa kulaumiwa ni kama kawaida aliyempa ule u-waziri mkuu kwa makusudi ili asimzibe Mkapa, guess alipewa na nani?
Alipewa na Mwalimu, simply because alikuwa mjumbe wa CC, kutoka kabila dogo, na kutokuwa na uwezo, ndio hasa qualifications zilizomfanya apewe uwaziri mkuu!
Apa umegusa jambo!! Watu walimsema sumaye for mashamba...kumbe wengine wana dili kubwa zaidi (Richmond,EPA,Kiwira,Iptl,bandarini etc etc )...
swali je nani ni kiongozi saizi kwakuwa wana upeo mdogo..makamba anyone??
Statement hii imefunga kazi yaani alikuwa Li -WAZIRI kubwa lao kwa miaka 10 kumbe hamna kitu?..He has in the past publicly admitted that he was not �aware of why Tanzania is very poor until I attended a special master�s degree programme at Harvard University�.
Huyu Chenge alisoma lini Harvard? Digrii ya ngapi? Na alisomea nini?
Mwageni mnayojua hapa...
Kwa upande wangu nitacheki na registrar's office nione kama kweli alisoma hapo au vipi...