HSE Officer
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 665
- 892
SawaKuna jamaa angu alienda juzi juzi tu hapa ngoja nikuuluzie
Tuishi na hii
Nimemuuliza yeye aliunga sana80,000
Kutoka Sumbawanga kwenda Karatu hakuna gari ya moja kwa moja.Tuishi na hii
Nimemuuliza yeye aliunga sana
Hawana route ya usiku??Kutoka Sumbawanga kwenda Karatu hakuna gari ya moja kwa moja.
Atashuka Makuyuni asubirie gari toka Arusha ndipo amalizìe safari.
Asipokuwa mjanja atafika kesho yake
Bilabila shaka washampa mwongozo