SUMBULA ana cheo gani ndani ya harim ya sultan

babadullah

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
508
Reaction score
319
Kama kawa baada ya kazi za mchana kutwa huwa tuna refresh mind kwa mitindo tofaut
Binafs huwa napenda muvi hasa tamthilia iitwayo sultana ndani ya azam two
Nadhani kwa wanaofatilia hii tamthilia watakua wanamjua SUMBULA huyu jamaa ananiacha hoi Sana Yan kote kote yupo af kimbelembele balaa
 
Mjakazi mkuu msaidizi anaeunganisha sultan + shazadi na watu wengine Ndani ya Harem. Kwasabab Dai hatum haruhusiwi kuwasiliana na sultan. In short GENDER ni serious ndani ya harem

Nafikiri nimekujibu, wasubiri na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…