Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,577
Majuu hakuna ugali wa muhogo!Kama ugali wa muhogo upo ntakuwepo ,
Tutaongea na Wapopo wakupikie Ugali wa Muhogo Mazee yaani itakuwa special delivery.
Ni kula bata tu na warembo...qqMazee mambo vipi wewe, picha zipo unajua nilikuwa na uchovu ndio maana sikuweza kuweka hapa ila baadae nitazipandisha. Kwa sasa unaweza kuangalia baadhi ya picha kupitia bongocelebrity.com kupitia hii link http://bongocelebrity.com/2008/07/28/ilivyokuwa-summer-breeze-chicago-bbq/#comments
Nitaweka nyingine nyingi zaidi baadae.