Karibu sana Mazee halafu si kuna ile mitaa unakaribishwa na red carpet na mambo Red Light Special hahahah.
Sasa bana mazee mbona unatoa mwaliko dakika za mwisho? Yaani mida hii hata ticket za greyhound ni zoezi...
Sasa bana mazee mbona unatoa mwaliko dakika za mwisho? Yaani mida hii hata ticket za greyhound ni zoezi...
Acha ubahiri wewe...au Labor Ready wiki hii hawana day waka?
Actually Quemu Memorial Weekend ya mwaka huu ndio the cheapest kusafiri kutokana na airlines nyingi kushusha bei zao sababu ya matatizo ya uchumi ambaoyo yamesababisha watu wengi kupunguza kusafiri. Yaani ukichukua zile packages za Hotel+Air+Car Rental ni so cheap. Karibia Karibia Mazee.
Hawa jamaa wamenipeleka kwenye cafeteria ya kajicollege nikaoshe vyombo wiki hii. Masaa yenyewe machache (4 kwa siku) halafu eti wananilambisha $5.50 kwa saa. Uncle Sam nae anakinga mkono (bila hata aibu) hapo hapo. Sasa greyhound itapandika kweli??
Halafu isitoshe hii mitoto ya college inafanya ndalilo...kila dakika inasogeza mivyombo. Hawana adabu kabisa...natamani wangejua jinsi ninavyoheshimika kjijini kwetu.
Hawa jamaa wamenipeleka kwenye cafeteria ya kajicollege nikaoshe vyombo wiki hii. Masaa yenyewe machache (4 kwa siku) halafu eti wananilambisha $5.50 kwa saa. Uncle Sam nae anakinga mkono (bila hata aibu) hapo hapo. Sasa greyhound itapandika kweli??
Hahah uko kwenu hakuna minimum wage nini? Fanya fanya usogee mpaka ATL alafu tutaendesha mpaka uko juu(joking).
Kima cha chini si kiliongezwa? Sasa inakuwaje Labor Ready wanakulalia hivyo?
Tatizo nikifika ATL naweza kuishia Quincy (hivi hii joint bado ipo?)
Mimi nilidhani Visa unajigongea tu Mazee, chonga muhuri bandia halafu mambo iwe mswano.
Haaaa sio rahisi. Tena siku mambo ndo yamekuwa magumu kweli. Inabidi visa ipite ngazi tatu kabla muhuri haujagongwa - mama mkwe, mama watoto, na princess. Mmoja wao akikunja sura tu...nimekwisha...lol
Mara ya mwisho kutia timu ilikuwa lini?
ATL au Quincy? Mara ya mwisho kuja ATL ilikuwa kama mwaka uliopita hivi. Quincy nilienda mara ya mwisho baada ya kui-renovate na kuipanua kuwa kubwa. Kabla "wanaija" hawajaipiga kibiriti kuvuta insurance (rumor had it). Lakini nilisikia kuwa waliitengenza tena...