Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Una maanisha Queens? pale muulize NN mzee wa zipompa pompa ndio atakuwa anajua status yake.
Ahahahahahaha...okay...kumbe anamaanisha Queens...ahahahahahaha...sijawahi kukanyaga mguu na sitokanyaga mguu. Aheri niende zangu Spondivits au Dave & Buster's kuliko Queens...yuuuuck
Ahahahahahaha...okay...kumbe anamaanisha Queens...ahahahahahaha...sijawahi kukanyaga mguu na sitokanyaga mguu. Aheri niende zangu Spondivits au Dave & Buster's kuliko Queens...yuuuuck
What's wrong with Queens? Au kwa sababu ni African joint?
What's wrong with Queens? Au kwa sababu ni African joint?
Mazee chicks za kiwest huwezi kucheza nazo unless unaongea French au zinakujua kiundani.
Sasa tunakwenda Chi-Town au ndio unaogopa maana nasikia una demu uko anakutafuta, mtoto wa kike bado anakupenda lakini wewe humtaki(nimesikia/uvumi).
mazee Geeque au cupcake wa NN wataniibukia bila ya shida...lol
Arooo...I don't care if y'all know each other and whatnot....Cuppy haji kukuibukia hata ukiwa stranded.
Unaona sasa...nyinyi mabrothermen tatizo lenu ndio hili...mnakwenda kwenye kumbi za starehe kutafuta mademu.
Anyway, mimi napenda kwenda African clubs kwa sababu nikiwa huko napata maandhari ya nyumbani.
Haaaaa taratibu kaka. Hamna mwenendo kama huo bana. Hebu acha uzushi.
Hebu ngoja nimcheki mshikaji wangu mmoja hivi anayesukuma truck ya Wal-Mart. Anaweza kuwa anamwaga mzigo maeneo ya Chicago wikiendi hii. Najua akini-drop tu maeneo yoyote ya Chi-town, mazee Geeque au cupcake wa NN wataniibukia bila ya shida...lol
Ha ha haa nilifikiri mandava hawana wivu.... usiwe na wasiwasi cupcake wako ni kama binamu-dada yangu..
Huyo shori kwenye tangazo atakuwepo?...ngabu unamnyaka shori huyo?
aisee.....huyo shori nyamwezi au ya kibongo?Oooh yeah....namnyaka huyo....anaitwa Faith...details zaidi ni PM....
wallah kwa hii picha kwenye hili tangazo wasioenda watakuwa wabishi tu....mkuu hapana kitu kama hii hata kuziangalia unaridhika....Ladha ile ile Mazee teh teh teh !!