Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Simu tajwa nikiichaji inaleta Alama ya pembe tatu rangi ya njano. Sijui tatizo nini? Kuna vitu vyangu kibao nataka kuhamisha msaada wajuzi. Na chaji haingizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SkrinishotiSimu tajwa nikiichaji inaleta Alama ya pembe tatu rangi ya njano. Sijui tatizo nini? Kuna vitu vyangu kibao nataka kuhamisha msaada wajuzi. Na chaji haingizi.
Hapo kwenye betting inawezekana maana nolipeleka kwa fundi labda kaibadili.tatizo litakuwa betri simu ni samsung ila ww umeweka betri la tecno au brand nyingine za wachina wa kariakoo..au chaji yako inatoa umeme mdogo kuliko mah za betri ni kubwa..tafuta chaji kubwa kuanzia output 5 V= 2.0 A