Sumu ya mwanamke ni mwanamke mwenzie

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,957
Usemi huo nilikutana nao kijiweni, wazee wakipongeza uamzi wa dini kuwa na wake wanne, kwamba mwanamke akijua kuna mwanamke mwenzake basi ananyoka vizuuuuriiii, hutasikia habari za usawa katika familia.

Maneno haya nimeyaamini baada ya kisa hiki kunitokea, nipo na mpzi wangu nampenda sana na nimejiapiza ndo atakuwa mke wangu, kuna wakati akaanza kunisumbua, nilichokifanya ni kujenga mazingira nataka kurudiana na x wangu, kwamba ananibembeleza sana na hata anatumia ndugu zangu kunishawishi turudiane, kwa kweli nampiga fix tu, tokea nioneshe hivyo mpenzi wangu kanyooka kama mti wa muashoki, ule usumbufu wake wa mwanzo umekwisha kabisa, ananibembeleza kama mfalme.

Nimeamini SUMU YA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE.
 
hilo ni kweli kabisaaa...with Experience nishaona hayo kibaaaoo....Sielewi sisi wanawake tumeumbwa vipi.....Hujitambui hadi uhisi unaibiwa...Utakuta mwanamke pia akishaolewa anajiweka hovyo hovyo ila akihisi tuu anachukuliwa heee atakuwa anajiremba, anajiweka smart mumewe amkute mrembo...Lkn Why hivi..?? ......Au unakuwa mjeuri nyumbani ukihisi unaibiwa tobaaaaa unachanganyikiwa utatafuta kila njia umdhibiti mumeo...

Jitambue mapemaaa
 
BAK uko wapi unioneshe picha ya mtu wa muwashoki nimetamani kuuona nijue mpenz huyo yuko kwenye hali gani
 

asante illuh umenisaidia kuiweka vizuri zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Usiombe ufanye hivyo na wewe ni 'reacher' kwenye hiyo relationship...utashtuka!!!
 

swadakta dawa ya moto ni moto
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…