Timu B? Unamaanisha Sub?inategemea na mtu ,kama hawezi kutongoza ndo utamkamata ila wale wa team B ndo kwanza unaweza ambiwa ulikua unachelewa kusepa
Timu B? Unamaanisha Sub?
He he he eti mwanaume ndo mfanya maamuzi, endelea kujidanganya shemeji....Hapana kwakuwa ktk mahusiano mwanaume ndo mfanya maamuzi kwamba penzi liendelee au laaa!
mmmmmh wanaume bhana kila siku mnaleta vituko vipya
He he he eti mwanaume ndo mfanya maamuzi, endelea kujidanganya shemeji....
Kwahiyo we ukimwambia hivo mkeo atakuchekea?Ssasa wewe mwambie mumeo kwamba x boyfriend wako anakumbushia kamchezo.! Halafu uone kitakachojiri
Kwahiyo we ukimwambia hivo mkeo atakuchekea?
rejea story ya mtoa mada! Ninacho maanisha kiafrika talaka inatolewa na mwanaume tu. Mwanamke huwa anaomba kuachwa na siyo kuandika talaka.
fafanua mkuu, sijakupata vizuri.