BAK uko wapi unioneshe picha ya mtu wa muwashoki nimetamani kuuona nijue mpenz huyo yuko kwenye hali gani
mama la mama ya JF waachie wana JF mpz.
JEKI usiniharibie soko hapa mimi ni mwanamke mzuri mpole mwenye nguvu za kike
kazi kweli kweli, hapo ndo huwa nachoka na wanaJF, ubabaishaji tuuuuuuu.
Kumbe nawe ulikuwa unangoja picha?
utaiona siku nikitagazwa natafutwa nimepotea....
kwani kuna mwanaume hataki picha yako Evelyn Salt?
samahani dada yangu, nilikuwa natolea mfano tu. Jamani miss chagga ni mwanamke mpole, mtii na mrembo.
aiseee, ndo anakuwaje huyo?
kazi ipo, mimi sikuwezi tena. Asubuhi njema.