Sun Cirro Night Club Shekilango Sinza

Sun Cirro Night Club Shekilango Sinza

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Karibuni jamani... Club ya San Siro inafunguliwa RASMI LEO 29.01.10,ipo mkabala na Rombo Green view! inadaiwa ndo club pekee E.A ambayo unapata huduma zote,mfano BELLY DANCERS,BIKINI WAITERS,POLE DANCERS etc... Naelekea hapo sasa hivi... Nitawajuza kinachoendelea huko natumia Simu ya kiganjani nitawajuza...
 
Nipo ndani ya Club tayari... Na Ze mood is right,nimekuja kwa Taxi kwani! Loh! Yasije yakajirudia enzi zile za Kili Time! Kama kawa nje madada pouwa kibwena! Kasoro ya kwanza kuna Bar kwa nje! Duh naitwa jina langu halisi uuuuwiii nani tena... Nagundua wazee wa MIZINGA wamekaba kula kona... Itaendelea...
 
Mlangoni kuna Mabawabu Wamevaa mavazi ya kuvutia kama Security wa Knight suport au Security Group na wana zana mbali mbali kama Gongo,Filimbi,pingu,Radio,etc..na ni wastaarabu...
 
Usikurupuke...
Hapaitwi Sansiro.
Panaitwa Sun Cirro...

Sansiro ni ule uwanja ambao unatumiwa na ile timu yenye mafanikio zaidi ulimwenguni yaani AC Milan.
Ni uwanja ambao unachukua watu wenye utimamu wa akili takriban 90000.
Na ndi uwanja uliowahi kutumiwa na mastaa wengi zaidi ktk soka kama uwanja wa nyumbani.
Maana ya sansiro ni matuta ya viazi.
Sasa je hilo jumba la anasa lina uwiano gani na matuta ya viazi?
Forza Mila.
 
Walakini:Cashiers hawana mashine/lights za kugundua note fake! Kesho mwenye club anaweza kulizwa nao! Ok: Tuendelee Bei.. kuna bei za aina 2 kwa kawaida Sh.15000, na wanapokuita VIP japo sipendi jina hilo ni 20000, ....Itaendela
 
Gang Chomba HESHIMA MBELE! ni kweli kuwa ni SUN CIRRO,mods please badilisheni heading...
 
Cashier ananipatia kibandiko cha Blue Hand-cuff kwa ***vip 20000*** na wale wengine wa 15000 pink... Naelekezwa nipande ngazi WOOOOW!! patamuuu
 
Mazee kilichokupeleka huko ninini vyangudoa au maana cha kwanza kutujuvya ni dadaspoa. Kama ni hilo mbona hata africa sana ni noma au ni keshia machine ambazo hazigundui noti feki. Anyway kesha kapo tujuvye kesho kunani kilichojiri kwenye mifuko yako. ANGALIZO ucsahau uhai kinga muhimu sana kwenye ufunguzi huo. Mazee kazi njema w end njema
 
Tofauti kubwa ya hapa Sun Cirro na Bills,Maisha ni kuna vyumba 2 vyenye Counter yake vinavyoweza kubeba watu 40 vyenye makochi na Stuli ndefu.na unausikia muziki upigwao.. kasoro: Vyoo ni very sub-standard NO PRIVACY! Haswa vya kiume... ,
 
MAPUNGUFU MAKUBWAAAAA ...No Bikins waitresses,No Belly Dancers,No Pole Dancers... Stay tuned...
 
Ndugu yangu mbona umedanganywa kitoto sana na wewe umekurupuka kama mwanariadha wa mita 100?

Tafuta pesa kwanza then Hivyo vikolokolo ulivyovitaja utakwenda kuvipata ktk beach za brazil na ktk madisco ya mji mtakatifu waishio malaika waliopotea yaani ''los angeles''
 
ndugu yangu mbona umedanganywa kitoto sana na wewe umekurupuka kama mwanariadha wa mita 100?

tafuta pesa kwanza then hivyo vikolokolo ulivyovitaja utakwenda kuvipata ktk beach za brazil na ktk madisco ya mji mtakatifu waishio malaika waliopotea yaani ''los angeles''



?????????????????????????????
 
Wanataka kuifunika Club Ambiance,nasikia ni wale jamaa wa Kili Time
 
Nilipita mitaa ile pale nimepata house maeneo yaleyale ya legho so pale patakuwa ndo home ground. Kuna mataa mataa kibao pale nje si mchezo
 
Back
Top Bottom