DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sad newsMtangazaji mashuhuri wa muziki wa dansi, Sunday Mwakanosya, anayefahamika kwa kazi zake kupitia Chanel Ten na Magic FM, amefariki dunia leo alasiri.
Yasikitisha hakika, kijana mdogo kabisaSad news
Ana udogo gani sasaYasikitisha hakika, kijana mdogo kabisa
Kwa mujibu wa Biblia ambayo ndio kitabu mama cha marehemu, umri wa mtu kufa ni kuanzia miaka 70, hiyo amekufa akiwa mdogo zaidiAna udogo gani sasa
Naomba ufanye research utagungua kuwa watanzani wengi hawafikishi huo umri unaosema,haizidi asilimia 15Kwa mujibu wa Biblia ambayo ndio kitabu mama cha marehemu, umri wa mtu kufa ni kuanzia miaka 70, hiyo amekufa akiwa mdogo zaidi
FafanuaPole sana.
Mloganzila siyo.