Sunderland v. Man City live!

Njemba iliwalamba chenga lakini akampasia kipa badala ya kufunga
 
Sunderland wanajua uwezo Wa kumiliki mpira bado sana hivyo ni mashambulizi ya kushtukiza
 
Mancity wanagongeana langoni Mwa Sunderland lakini ukuta huo ni balaa
 
Naona Sunderland hii gemu wanataka pointi zote tatu watoke kwenye kundi LA wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…