Sunderland v. Man City live!

Matokeo yake ni kuzuia mashambulizi badala ya kushambulia
 
Mabeki wa Mancity waende mbele kuongeza nguvu ya kushambulia badala ya kulinda wasifungwe
 
Magoli yote mawili yeye kayatengeneza ndiyo maana kateuliwa mchezaji bora kwenye mechi ya leo
 
Mancity wakowako tu lakini wanapata matokeo mazuri
 
Sunderland ni Wa mwisho kwenye ligi kukwepa kushuka daraja ni kwa maombi tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu jamaa mpeni kazi VIPAJI VINASAMBAZIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…