A Appetizer Member Joined Apr 8, 2013 Posts 93 Reaction score 29 May 12, 2016 #1 Msaada tafadhali.Kuna visundosundo vimenitokea kichwani sasa miaka minne.Tiba yake ni ipi?msaada tafadhali kwani vinaongezeka kila siku.
Msaada tafadhali.Kuna visundosundo vimenitokea kichwani sasa miaka minne.Tiba yake ni ipi?msaada tafadhali kwani vinaongezeka kila siku.
wambura marwa JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 2,172 Reaction score 1,128 May 12, 2016 #2 Pole mkuu ila mkuu miaka yote hiyo bila tiba au ulikuwa safarini? Ila neno ulilotumia kwangu ni geni je kuna neno mbadala? Ila natanguliza pole kwa tatizo linalokusibu
Pole mkuu ila mkuu miaka yote hiyo bila tiba au ulikuwa safarini? Ila neno ulilotumia kwangu ni geni je kuna neno mbadala? Ila natanguliza pole kwa tatizo linalokusibu
A Appetizer Member Joined Apr 8, 2013 Posts 93 Reaction score 29 May 13, 2016 Thread starter #3 Vinyama vigumu vimeota kichwani