Sunflower oil processing

Sunflower oil processing

gmail mkulima

Senior Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
186
Reaction score
114
Wakuu bado nafanya utafiti wa kufungua kiwanda cha alizeti naomba wenye uzoefu na hii biashara waendelee kunisaidia. Sehemu ambazo nahitaji kujua zaidi
1 gunia moja ya debe sita mashudu ni kiasi gani.
2 mashudu debe moja ni sh ngapi bei ya jumla.
3 mafuta yaliopo sa hvi sokoni yanaotengenezwa na wajasiriamali wadogo ni refined?
4 leseni na tbs ni sh ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja waje watujuze name nahitaji kujua, Kuna mtu aniambia mashirine nzuri ni tsh 20M
Shudu gunia ni Tsh 30k, not refined

That is a little bit I know about

signed
 
Back
Top Bottom