Wakuu bado nafanya utafiti wa kufungua kiwanda cha alizeti naomba wenye uzoefu na hii biashara waendelee kunisaidia. Sehemu ambazo nahitaji kujua zaidi
1 gunia moja ya debe sita mashudu ni kiasi gani.
2 mashudu debe moja ni sh ngapi bei ya jumla.
3 mafuta yaliopo sa hvi sokoni yanaotengenezwa na wajasiriamali wadogo ni refined?
4 leseni na tbs ni sh ngapi
Sent using
Jamii Forums mobile app