Wakuu kwa anaefahamu vyema juu ya hawa viumbe atujuze!
1:Aina mbalimbali za sungura
2:Namna bora ya kuwafuga
3:Faida na hasara za zake
4:Mengineyo kuhusu hawa viumbe
Utaweza kweli kuwafuga? Maana wanakulaga majan flam iv machungu balaa uwa yanapatikana sana mabush cjajua lakn vyakula vya mashop ngoa wajuz wa town waje