Sungura wa Kisasa wanapatikana kwa bei nzuri nafuu!

jozee1112

Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
18
Reaction score
11
Kwa mahitaji ya Sungura wa kisasa na wa kienyeji wakubwa na wadogo wanapatikana kwa bei nafuu.

Wanapatikana KIVULE Dar es salaam
Mawasiliano: 0756143468/ 0686643616
BEI KUANZIA ELFU 30,000.
Wadogo bei ni 12,000 wana miezi 2.
 

Attachments

  • IMG_20181108_070149.jpg
    191.8 KB · Views: 93
  • IMG_20181108_065915.jpg
    233.9 KB · Views: 103
  • IMG_20181108_070210.jpg
    206.5 KB · Views: 96
Hivi jamani soko la sungura lipo wapi naona wanauzwa bei kubwa sana, wakati mi zamani nilikua nawafuga nagawa bure tu vitoto.
 
Hivi jamani soko la sungura lipo wapi naona wanauzwa bei kubwa sana, wakati mi zamani nilikua nawafuga nagawa bure tu vitoto.
Akawauzie Whindi kule Upanga na Kaeiakoo wanapenda sana nyama za sungura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…