Wadau habari zenu very soon nitafungua mgodi wa sunstone naomba sana support ya mawazo kwa wazoefu/ wanaofahamu kwa kina kazi hii inavyokwenda. Asanteni Sana.