Ni kweli ni kipindi kizuri sema zembwela ashaanza kulewa sifa,ashaanza kujiaona yupo juu,ashaanza kuwakatia watu simu,zembwela anataka mtu akichangia mada achangie kama anavyotaka yeye,hajui kwamba kila mtu ana maoni yake aliangalie hili::Mtu anauliza kwa nini kwenye wimbo wa roma pale anaposema " Tuwakemee mafisadi wote wa ccm" wao wamedit kwahiyo wanawaficha hao mafisadi? jamaa naona akamaind kinoma,kwani nani hajui kwamba ccm ni chama cha mafisadi?? Zembwela Jifunzi bwana mwache mtu aulize,usionyeshe wewe upo una mlengo gani:::