Super Bilioneaz Mo Dewji anataka kujitoa katika azma yake ya Uwekezaji Simba

hyassin92

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
584
Reaction score
634
LIVE STRAIGHT TALK: The Art of Business sijashitushwa na habari za leo kwamba Super Bilioneaz Mo Dewji anataka kujitoa katika azma yake ya Uwekezaji Simba ni habari ambazo nimekuwa nikizisikia kwa muda mrefu sana na hasa mgogoro mkubwa sana wa chini kwa chini katika Bodi ya Simba na yes ninathibitisha kwamba ni kweli MO DEWJI anafikiria kujitoa uwekezaji Simba unless Viongozi wa Simba wabadilike na kuanza kuwa serious na Business....

Simba Corporate ni muungano wa Kibiashara wa Two Patners ambao wanatakiwa kufanya kazi kwa pamoja under Uongozi wa MO Dewji na sio vinginevyo na toka makubaliano yalipofanyika Mo amekuwa akitimiza wajibu wake lakini kwa bahati mbaya amekuwa akipata Ushirkiano HAFIFU SANA kutoka kwa baadhi ya wanabodi na kumfanya aanze kukata tamaa...hakuna linalofanyika as a PROGRESS isipokuwa majungu majungu na siri za klabu kulikishwa kila siku na baadhi ya wale ambao walipokuwa wanagombea nafasi za Bodi Simba walidhani zitakuwa na masilahi ya Binafsi sasa wamegundua hakuna Masilahi ni kwa Wachezaji tu wamepandwa na hasira na kuanza mbinu za kumhujumu Mo Dewji na MIMI BINAFSI KAMA MWANASIMBA I SUPPORT MO DEWJI 100% on this

....wanalilia Bilioni 20 lakini hawataki kuleta chochote mezani kama mkataba unavyosema sasa hiyo itakua Biashara kichaa Mo Dewji ametimiza bila shaka ahadi yake ya ku REBUILD SIMBA sasa baadhi ya Wajumbe wa Bodi inaelekea walidhani watakuwa wanavuna pesa bure tu kwa kutengeneza mazingira ya kumfanya Mo aonekane anawahitaji wao zaidi kuliko wao wanavyomuhitaji Mo ila walisahau kwamba Mo ndiye Simba ya Sasa hivi na akiondoka tu tunarudi kule kule kwa zamani .....ninawakumbusha baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Simba BADILIKENI au MJIUZULU muwape nafasi damu mpya wanaoweza kuangalia masilahi ya Simba kama timu ...Rais mmoja mstaafu wa Tanzania alisema "UKITAKA KULA VYA WENZAKO NI LAZIMA UKUBALI NA VYAKO VILIWE PIA" na yes Mo ameshachora chini mstari wa Kibiashara AIDHA mko naye au muachane patnership ni TWO WAYS STREET sio One way street ...Wanachama wa Simba tunahitaji kuwa makini sana na huu upuuzi wa baadhi ya wana bodi wetu cause unaweza kuishia @https://youtu.be/gCafcnHKADk
 
Mambo haya ya kuendesha vilabu kibiashara bado ni mageni mno nchini mwetu yanataka kwanza uhamasishaji mkubwa kielimu na kibiashara. Kwa hiyo jitahada kubwa inahitajika ikiwemo kufanya ziala ya kujifunza katika nchi ambazo mfumo huu umezoelaka vinginevyo itakuwa mchezo wa nyuki tu toka ingia toka ingia.
 
Mzee Kilomoni hata mumpeleke ziara nchi 60 hawezi kuelewa biashara zinavyoendeshwa kwasababu shule hamna pale.
 
Wabongo bwana kila kitu tunafeli,hivi mo kwa nini asianzishe team nyingine aache kuhangaika na hao wachawi
 
Kuna mijitu ipo simba pale tena viongozi hawana tofauti na Kilomoni, mashabiki tunaumia kwa sababu ya upumbavu wao. Sasa MO akijiuzulu na nyie mjiuzulu tumbaf sana...
 
Mo anataka auziwe timu kwa hili tuwaunge mkono wajumbe wanaompinga

Wapo wawekezaji wengi wanaoitaka Simba km ameshindwa aondoke
 
Haaaaaahaaaaa nacheeeeeeeeka!
 
Mo anataka auziwe timu kwa hili tuwaunge mkono wajumbe wanaompinga

Wapo wawekezaji wengi wanaoitaka Simba km ameshindwa aondoke

Hao wawekezaji walikua wapi toka zaman mpaka Mo awekeze ndio na wao watake,,,acha abadilishe team
 
Hao wawekezaji walikua wapi toka zaman mpaka Mo awekeze ndio na wao watake,,,acha abadilishe team
Mzee Bakhresa na tajiri mmoja kutoka Uarabuni walitoswa kwenye mchakato ..walikuwa watoe zaidi ya 20B..Magori tapeli ndio anaharibu kila kitu na kuwadharau viongozi wa kuchaguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…