Super black haikai kabisa kichwani, wiki 1 tu imeisha

Super black haikai kabisa kichwani, wiki 1 tu imeisha

alcacer

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
238
Reaction score
203
Habari za muda huu nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee super black haikai kabisa kichwani wiki 1 tu yote ishaisha nipeni muongozo
 
KUNA UMRI UKIFIKA HATA SUPER BLACK INADUNDA MKUU

Jaribu kuna moja inaitwa VASMOL bei ni 2500 hadi 3000

Pia usisahau hata superblack zipo na madaraja
 
Habari za muda huu nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee super black haikai kabisa kichwani wiki 1 tu yote ishaisha nipeni MWONGOZO!
Tafuta black beauty super black original....subili ikauke vzuri kabisa....muda kuosha usioshe kichwa sana osha mara moja tu.... ukimaliza kausha tena kichwa na bodry Alf pakaa mafuta(blue magic)....siku inayofuata ukiosha kichwa usisugue sana ni kidg tu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Habari za muda huu nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee super black haikai kabisa kichwani wiki 1 tu yote ishaisha nipeni MWONGOZO!
Na ndivyo mvi zitakavyo kujaa kichwani.
 
Back
Top Bottom