Super Bowl LII

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Leo ndo siku ya siku na asiye na mwana aeleke jiwe.

It’s going down in Minneapolis.

Who ya got?

Pats or Eagles ?

S
Hii Ndio Nini????!!!
Super bowl nimchezo hapa Tanzania hauchezwi wanarusha madude flank mazito yanaenda kukonga vidude vinadondokaa mfano kama uliwahi kuchezea betri unaziweka kwenye mbao alafu unalenga tulikua tunaita kupuna kwa wahenga
 
😀😀😀😀
 
super bowl
mchezo pendwa namba 1 USA
NAONA kweli huko majuu
leo itakuwa ndio leo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…