JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 54
Wakuu Habari,mwenye Ufahamu Wa Matumizi Na Faida Za Super Gro Kwenye Nyanya Anijuze.Nasikia Ina Umuhimu Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona tuufufue uzi kutoka chimbo. Sidhani kama hata mtoa post ni member hai. Kilimotoka mwaka 2015 ?
ukiona hivyo haitumiki ktk zao tajwa
hilo ndyo tatizo kutumia picha za google badala ya uhalisiaMentor wangu alitumia kwenye nyanya, matokeo ni kama hayo!
Pole, hizo nyanya nilitumiwa picha na mentor,Mahindi nilimtumia picha nimeidownload upya messenger, so imekuwa rahisi kui upload from downloads, chainizi sijawahi share na mtu picha, nimeshindwa mamma ya kuibandika hapa. Sijazoea kufake, am too realhilo ndyo tatizo kutumia picha za google badala ya uhalisia
inapendza ulete picha zako halisi ndgu ili tujilidhishe mfano mm nalima maharage na karangaa , inanifaa?Pole, hizo nyanya nilitumiwa picha na mentor,Mahindi nilimtumia picha nimeidownload upya messenger, so imekuwa rahisi kui upload from downloads, chainizi sijawahi share na mtu picha, nimeshindwa mamma ya kuibandika hapa. Sijazoea kufake, am too real
Huelewi kipi? Mahindi ni yangu, nililima 2017, haya nielekeze kuweka image, ili niweke chainizi pia. Nafikiri hapo juu nimeandika nimekwama wapi. Kama hujaelewa wengine wanisaidie kukuelewesha.inapendza ulete picha zako halisi ndgu ili tujilidhishe mfano mm nalima maharage na karangaa , inanifaa?
Mkuu nimekuelewaHuelewi kipi? Mahindi ni yangu, nililima 2017, haya nielekeze kuweka image, ili niweke chainizi pia. Nafikiri hapo juu nimeandika nimekwama wapi. Kama hujaelewa wengine wanisaidie kukuelewesha.
Imebidi nimtumie mtu kwenye messenger then nidownload, ili nitume maana siamimiki.Mkuu nimekuelewa
Imebidi nimtumie mtu kwenye messenger then nidownload, ili nitume maana siamimiki.
Hizi chainizi nililima kwangu mwaka huu, sikuweka Mbolea yoyote zaidi ya super grow
Nimesema hakuna zao linalo kataa super grow. Nililima kwa miaka 2, nikaacha. Niko busy kidogo so nakosa muda Wa kusimamia.Asante kwa jitihada vp mbolea hyo kwenye karanga na maharage na vp ww unalimia wapi mimi niko mkoa wa Pwani
Asante kwa kushare nasi nitafanyia kaziNimesema hakuna zao linalo kataa super grow. Nililima kwa miaka 2, nikaacha. Niko busy kidogo so nakosa muda Wa kusimamia.
Asante kwa kushare nasi nitafanyia kazi
[/QUOT
Nilifundishwa kulowekea kwenye mbegu kabla ya kupanda for 48 hrs, ila unakuwa unageuza kila baada ya massa sita unageuza (ila nafikiri itategemea mama kuna mvua maana ukiloweka half ardhi ikawa kavu ni mtihani mwingine!)