Super Gro kwenye nyanya

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
341
Reaction score
54
Wakuu Habari,mwenye Ufahamu Wa Matumizi Na Faida Za Super Gro Kwenye Nyanya Anijuze.Nasikia Ina Umuhimu Sana.
 
Mentor wangu alitumia kwenye nyanya, matokeo ni kama hayo!
 
Attachments

  • received_1925110231081881.jpeg
    68.6 KB · Views: 33
Kuna picha nashindwa kuzi upload, nilitumia pia kwenye chainizi, kwa uzoefu wangu Mdogo, ni product nzuri tu, unatumia kwa kila zao. Iwe ni matunda egg maembe, mapapai, nafaka au mboga mboga
 
hilo ndyo tatizo kutumia picha za google badala ya uhalisia
Pole, hizo nyanya nilitumiwa picha na mentor,Mahindi nilimtumia picha nimeidownload upya messenger, so imekuwa rahisi kui upload from downloads, chainizi sijawahi share na mtu picha, nimeshindwa mamma ya kuibandika hapa. Sijazoea kufake, am too real
 
inapendza ulete picha zako halisi ndgu ili tujilidhishe mfano mm nalima maharage na karangaa , inanifaa?
 
Huelewi kipi? Mahindi ni yangu, nililima 2017, haya nielekeze kuweka image, ili niweke chainizi pia. Nafikiri hapo juu nimeandika nimekwama wapi. Kama hujaelewa wengine wanisaidie kukuelewesha.
 
Mkuu nimekuelewa
 
Mkuu nimekuelewa
Imebidi nimtumie mtu kwenye messenger then nidownload, ili nitume maana siamimiki.
Hizi chainizi nililima kwangu mwaka huu, sikuweka Mbolea yoyote zaidi ya super grow
 
Attachments

  • received_457014955235796.jpeg
    110.9 KB · Views: 30
Asante kwa jitihada vp mbolea hyo kwenye karanga na maharage na vp ww unalimia wapi mimi niko mkoa wa Pwani
Imebidi nimtumie mtu kwenye messenger then nidownload, ili nitume maana siamimiki.
Hizi chainizi nililima kwangu mwaka huu, sikuweka Mbolea yoyote zaidi ya super grow
 
Asante kwa jitihada vp mbolea hyo kwenye karanga na maharage na vp ww unalimia wapi mimi niko mkoa wa Pwani
Nimesema hakuna zao linalo kataa super grow. Nililima kwa miaka 2, nikaacha. Niko busy kidogo so nakosa muda Wa kusimamia.
 
Asante kwa kushare nasi nitafanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…