Super League kuwa na timu 24 sio timu 8

Hilo halina ubishi na ukweli kwamba wataanza na timu nane sababu ya ratiba. Hata zitakapoanza timu 24 karia amesema wazi hajui ni vigezo vp caf itatumia kuongeza timu haina garantee tanzania itatoa timu ngapi.
Hapa ndio unakuja kupata jibu kuwa CAF hawakujipanga vyema. Wanataka kufosi yafanyike hata kwa timu chache kwavile wameshazindua na kuahidi kuanza mwezi wa nane. Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kuua moja wapo ya mashindano ya interclub (CAFCL au CFCC) ili kuipa timu nafasi za kushiriki michuano ya nje na ndani.
 
Hayatakiwa na mvuto, wanatafuta pesa tu!
 
Au ingekuwa inafanyika kila baada ya miaka ladhaa let say mitatu wakati huo mashindano mengine ya vilabu kama cafcl na cafcc hayafanyiki. Hapo yangekuwa na mvuto sana
 
Au ingekuwa inafanyika kila baada ya miaka ladhaa let say mitatu wakati huo mashindano mengine ya vilabu kama cafcl na cafcc hayafanyiki. Hapo yangekuwa na mvuto sana
Kama yanafanyika baada ya miaka kadhaa, ni lazima CAFCL na CAFCC yafanyke, bila hayo kufanyika inamaana hakutakuwa na msimu wa mashindano ya vilabu kwa ngazi ya kimataifa kwa barani Africa. Wangeitoa CAFCL kisha wakaiboresha hiyo syper league kwa vigezo wanavyotaka wao kisha timu zitakazobakia zieende CAFCC. Kuweka mashindano mawili kwa wakati mmoja ni kuwapa ugumu washiriki huku wakiwa na mashindano mengine ya ndani. Au bora hata wangepishanisha miezi ya kuanza kwa mashindano.
 
Nilimaanisha yanastopishwa kwa mwaka ambao super ligi inafanyika. Yaani miaka mitatu cafcc na cafcl then mwaka unaofata ni super ligi pekee.
 
Sio rahisi kuanza na timu 24 japo ndio ilikuwa ndio lengo wakati wanaanzisha. Mwanzo walikuwa wamefikiria kuweka katika mfumo wa mashindano ila sasa wameona waweke katika mfumo wa bonanza. Timu zitakazoshiriki ni
Simba
wydad
Tp Mazembe
Horoya
Al Ahly
Petro Luanda
Mamelod na
ES Tunis

Ukiangalia katika hizo timu, kuna timu ambazo ni za kawaida tu kiuwezo na kuna timu ni bora kuliko hizo lakini zimeachwa, hivyo sio mashindano yanayoangalia ubora wa timu zinazoshiriki.
 
Hii kitu isipoangaliwa huenda ikawa - flop au kufa kifo cha kawaida a few years down the line - Cheki hii another article....

CAF - Football: African Super League: A roller coaster for the first edition

While its first edition is to be launched in August by the Confederation of African Football, the African Super League has not yet revealed all the contours on its organization. The competition will have only eight teams for its launch, instead of the 24 clubs initially planned. Many countries will not have representatives.

Change of plan at the Confederation of African Football. After the big announcements at the time of the projections around the launch of the African Super League, the return to reality seems to have caught up with the leaders of the pan-African body. In just six months, the first edition of the competition will be held and for the moment, it is difficult to detail the exact contours of the organization.

Initially, a field of 24 clubs should compose this new competition, with teams divided into three groups paired according to their geographical area, namely: North Africa, Central and West Africa, and finally Southern and East Africa. In fact, there will be much less people on the starting line next August. Only eight teams will make up this first edition according to Muhammad F. Sidat, head of professional soccer at CAF.

"The competition at the initial stage is composed of 24 teams, but for the first edition that we consider as a pilot we will have eight clubs," said the executive, on the sidelines of an inspection visit to the TP Mazembe stadium, which received its CAF approval to host interclub and international matches. "This inspection visit is part of the preparation of the competition. We were previously in Cairo, Tunis, Casablanca to visit the big clubs of the continent and the big stadiums," he added. A first important information that considerably reduces the number of contenders for the integration of the African Super League.

Several nations absent and revenues revised downwards?
As for the choice of clubs that will compete in this first edition of the Super League, Sport News Africa has learned that they will be selected according to the CAF ranking of their country over the last five years. The program Talents d'Afrique of Canal+ went further by announcing the names of the lucky ones who would be: Al Ahly (Egypt), Esperance Tunis (Tunisia), Wydad Casablanca (Morocco), Mamelodi Sundowns (South Africa), TP Mazembe (DR Congo), Horoya (Guinea), Petro Atletico (Angola) and Simba (Tanzania).

There would be the clubs winners of the CAF Champions League since 2015, five in number, plus three teams rising on the continent by their performances in recent years: Petro Atletico, Horoya and Simba. All of them, on the other hand, are title holders in their domestic league.

There would be, according to the media, no Algerian club while the country occupies the 3rd place in the ranking of CAF. Result of the restrictions linked to the geographical limit not to over-represent a zone?

Still, this selection would make 16 disappointed, left on the sidelines and forced to wait for the next edition to know if they can integrate this Super League, supposed to bring a new breath on African soccer and especially to inject cash while the Confederation of African Football has recorded a loss of nearly 40 million dollars in its accounts. With the African Super League, the basic projections were for a sum of 2.5 million dollars insured for each participant, as well as a bonus of 11.6 million dollars for the winner. But that was for the 24-team format. No doubt that with this format with only eight clubs in the running, the prize money will also be considerably reduced.

Ukiangalia katika hizo timu, kuna timu ambazo ni za kawaida tu kiuwezo na kuna timu ni bora kuliko hizo lakini zimeachwa, hivyo sio mashindano yanayoangalia ubora wa timu zinazoshiriki.
There would be the clubs winners of the CAF Champions League since 2015, five in number, plus three teams rising on the continent by their performances in recent years: Petro Atletico, Horoya and Simba. All of them, on the other hand, are title holders in their domestic league.
Extract from : CAF - Football: African Super League: A roller coaster for the first edition
 
Reactions: BRN
Kama timu 8 inamana Kenya na Uganda zitatoa team utopolo hamna mtakapopitia
Na hapo Kagame lazima ahakikishe ameingiza timu yake. Nguvu inayotumiwa na wanasiasa kuhakikisha Yanga anaingia ni kubwa sana utafikiri nchi haijahakikishiwa ushiriki wa timu. Yanga wanaweza kuingizwa lakini sidhani kama wame "earn" hiyo nafasi.
 
Kwahiyo zikiwa timu 24 wewe utaumia?
 
Na hapo Kagame lazima ahakikishe ameingiza timu yake. Nguvu inayotumiwa na wanasiasa kuhakikisha Yanga anaingia ni kubwa sana utafikiri nchi haijahakikishiwa ushiriki wa timu. Yanga wanaweza kuingizwa lakini sidhani kama wame "earn" hiyo nafasi.
Relax

Kuingia tutaingia na tukikutana na nyie ni lazima mpasuke

Ndiyo ujue CCM na Yanga damu damu
 
Na hapo Kagame lazima ahakikishe ameingiza timu yake. Nguvu inayotumiwa na wanasiasa kuhakikisha Yanga anaingia ni kubwa sana utafikiri nchi haijahakikishiwa ushiriki wa timu. Yanga wanaweza kuingizwa lakini sidhani kama wame "earn" hiyo nafasi.

Your browser is not able to display this video.
 
Kuna watu walikuwa wanauliza vigezo vinavyotumika kuchagua timu zinazoshiriki. Hivi hapa (sijui kama msaada wa tafsiri unahitajika):

So, 21 of the 24 initial qualifiers will be allocated based on the five-year CAF club rankings, giving teams competing in the Champions League and the Confederation Cup time to boost their ranking, with three 'wild card' slots allocated based on the size/scale/sustainability of a club also making the opening round.
 
Na hapo Kagame lazima ahakikishe ameingiza timu yake. Nguvu inayotumiwa na wanasiasa kuhakikisha Yanga anaingia ni kubwa sana utafikiri nchi haijahakikishiwa ushiriki wa timu. Yanga wanaweza kuingizwa lakini sidhani kama wame "earn" hiyo nafasi.
Kuna ubaya!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…