Super League kuwa na timu 24 sio timu 8

Kwenye hizo tatu ndo Yanga analingia

CAF wanauiaubali mpira wa bongo Kwa kuwa una hamsha hamsha kuanzia kujaza uwanja Hadi kwenye mechi zenyewe

Kama ulikuwa haujui Simba na Yanga ni brand kubwa na zote kuwepo SL kuta boost ufuatiliaji wa kombe lenyewe na views

Tuchukue kwanza kombe la shirikisho ambalo nyie hamna halafu msimu ujao tuingie robo fainali CAF CL Ili mkose kichaka Cha kujifichia
 
Ikiwa hivyo itakosa hadhi ya kuwa SUPER..itafutiwe tu jina lingine
 
Badala ya serikali kumpa support yule aliyeonyesha juhudi binafsi miaka nenda rudi, wamekazania kupeleka figisu na fitna za waswahili ili kumbeba kilaza. Tupo macho tunawaangalia.
Yanga na CCM ni damu damu

Nikuibie Siri,hivi unajua ni nani aliemtuma mwana fa mwanasimba mwenzio kwenda kuisemea Yanga!?

Unajua ni nani aliyempigia Pande Hilo la Unaibu Waziri!?

Hivi unajua kuwa akitusua anaweza kuwa Waziri Kamili wa Michezo!!?

Wake up
 
Kuna ubaya!!?
Hizi tabia ndiyo zimeua elimu yetu mpaka leo tupo kwenye mkwamo huu, watu kuanzia viongozi had wananchi wa kawaida hawana maarifa na ufanisi makazini ni mdogo. Huko Olympics tunapeleka watu kwa kujuana matokeo hatufanyi lolote na inaua morali ya watu kutaka kuwa bora maana hawaoni faida.

Nayasema haya kwa maslahi mapana ya taifa.
 
I don't care
 
Mkuu we andamana Hadi CAF HQ watakusikiliza

Yanga ndani ya SL,na tukipangwa na nyie mjiandae kupasuka
 
Kunywa mani kwanza mkuu ushushe pressure
 
Swali langu ni hili: Kwa nini ili Yanga ipate nafasi ni lazima Tanzania ipewe nafasi mbili? Kwa nini ikitoka nafasi moja, inakuwa ni ya Simba, na si Yanga?
 
Eti mwana FA awaombee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kIla siku nasema humu bila simba yanga haiko relative.
Team zishakaguliwa Marekebisho ya kufanya washatumiwa.
Nadhani na budget ishapangwa, wao yanga walikaguliwa lini au watakaguliwa lini?
 
Swali langu ni hili: Kwa nini ili Yanga ipate nafasi ni lazima Tanzania ipewe nafasi mbili? Kwa nini ikitoka nafasi moja, inakuwa ni ya Simba, na si Yanga?
UKiondoa makosa ya kibinadamu ya marefa, simba ni mkubwa kuliko Yanga.
 
Reactions: BRN
Kwa Ivo wameangalia majina au shape ?
 
Mkuu we andamana Hadi CAF HQ watakusikiliza

Yanga ndani ya SL,na tukipangwa na nyie mjiandae kupasuka
Kama unataka tuhakikishiane na mimi nakwambia hivi. Yanga hatakuwepo kwenye Super League inayoanza mwezi August 2023. Fanyeni yote yaliyo ndani na nje ya uwezo wenu ila kitimu chenu halitakuwepo.

Na naenda mbali zaidi nakupa hakikishio lingine, hamtoboi mbele ya Rivers United.

Save hii post na kachukulie mkopo.
 
Motsepe nadhani yupo mfukoni mwa Infantino......

hii super league itafeli, kwa sababu timu nyingi za kiarabu zitakosa nafasi ya kushiriki.....

ni aina flani ya ubaguzi
 
Source weka sio unaishia ku copy tu maelezo. Tupe na link tupitie kwa faida ya wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…