Nataka kuanzisha kisupermarket kidogo ambacho kitakuwa kinauza vyakula asili tu unprocessed food yaani flesh vegetables na n.k naomben ushauri juuu ya hili
Nataka kuanzisha kisupermarket kidogo ambacho kitakuwa kinauza vyakula asili tu unprocessed food yaani flesh vegetables na n.k naomben ushauri juuu ya hili
Hivi ni kwamba Hauwezi kujielezea vizuri, usumbufu au kiburi ?
Unawezaje kutoa wazo kwa jumla kiasi hicho halafu sisi tukushauri ? Yaani unashindwa hata kusema location uliyopo ili tujue tunakushaurije.
Kwa uwasilishaji wako huo wa suala lako ukishauriwa kama ifuatavyo usishangae:-
Ndanda - Masasi
Juba - Sudan kusini
Belo horizonte - Brazil
Kambikatoto - Chunya
Las Vegas - kwa bwana tulampu.
Ulyampiti - Singida