Pamoja na kunywa na kula hivo vilivyotajwa,kula vyakula vya asili na mazoezi ni muhimu sana.
Jambo la kufanya
1.Tafuta samaki aina ya Chaza (oysters) kunywa supu yake,ukipata pweza ni
muhimu pia kwani wote wana madini muhimu ya Zinc kiungo muhimu
kwenye hormone za Testosterone
2.Tafuta asali mbichi hasa ya nyuki wadogo,jioni kunywa vijiko viwili
ukichanganya na Tangawizi(ginger) ni muhimu sana hii iwe ni sehemu ya
maisha
3.Tafuta sukari gulu(mung'unya vijiko2 ikiwezekana kila siku) ama juisi ya miwa
iwe kinywaji chako ikiwezekana mara 2 ama 3 kwa wiki.........
4.Kunywa juisi ya matikiti na matango......kwenye tikiti hakikisha unakunywa
grasi 2 hadi3 kwa wakati mmoja na hii iwe sehemu ya maisha,na kama
matunda hayo yanapatikana,mpaka hali itakapokuwa nzuri.
5.Epuka vinywaji baridi aina ya soda(coca,fanta,pepsi nk)kwani sukari yake ni
hatari sana kwa afya kwa muda, kunywa maji kwa wingi,acha sigara kama
unavuta ,punguza unywaji wa pombe kama unakunywa,epuka ulaji wa
nyama zenye mafuta,kula samaki kwa wingi
.....kula mboga za majani(matembele,mchicha,spinarch nk) na
matunda kwa wingi ili uwe unapata choo kisicho kigumu, uisasahau
karanga ,korosho na vyakula vingine vya mbegu mbegu
6.Msichana wako afahamu tatizo lako na akupe moyo ni muhimu sana
kukujenga kisaikolojia
.........Good luck.......na Mungu akusaidie