Inasikitisha sana kama unatumia dawa au kilevi ili upate nguvu za kiume!
Ushauri namba 38 na namba 50 ni muhimu uufuate ntakwambia kwanini!
Kama hauna magonjwa yanayo weza sababisa uishiwe nguvu za kiume,basi zingatia hayo!,yaani:-
1.Zingatia chakula unacho kula,kisiwe ni chakula cha kukujaza mafuta mwilini,hii sio kwako tu ila kwa kila mwanaume au mtu anae jali afya yake.
2.Fanya mazoezi ya kegel,kama ulivo elekezwa namba 50 hapo juu
3.Fanya mazoezi ya viungo,kimbia,mazoezi ya kubana pumzi pia
4.Ukizingatia hayo hapo juu,utakua rijali wa kutisha!
Experience:
Nilikua na hali hii:
Nilikua niki muandaa mwenzangu nakojoa hata kabla ya kuingia,
au nikiingia ni sekunde "SEKUNDE" chache sana,nakua nimekojoa!
Akinichezea uume ndo kaua kabisaaaa,nakojoa mapema na siwezi tena kusimama na ndo siku imeisha hivo!
Why:?
Nilikua najichua sana (kwa mtazamo wa wengine hii sio sababu),
Ila amini,kujichua kulisababisha nipungukiwe nguvu sana,nilifanya hivo mda wote nilio kua shule kuepuka ngono!
Nilifanya nini:
Nili muona docta Paul Nelson,anapatikana Redio free africa,sikumbuki ni siku gani ila hua ni kipindi kinaitw usiku wa mahaba,
Alinielekeza mazoezi ya kegel,nilikua mwaminifu sana katika kuyafanya!
To make a story short,...
siku hizi,mimi ndo naamua goli la kwanza liingie baada ya mda gani,la pili nianze mda gani na nimalize mda gani !
(hii sio kegel peke yake,mazoezi ya viungo pia yana saidia,sijaacha kegel hadi leo)
ACHANA NA MADAWA MKUU,UNA JIUA KABISAAA