Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi bila kupata majibu. Hivi unaposema fulani ni star au super star ktk eneo fulani kama ni film industry au ktk soccer...what does this means? Katika tasnia ya filamu hapa Bongoland...ukibahatika kuigiza movie moja au mbili na zikauza sokoni japo kidogo na ukafahamika kidogo...utaanza kusikia ktk magazeti kuwa Star wa Bongo kunako tasnia ya filamu aitwaye......amefanya hivi na vile. Mtu mpaka afikie hatua ya kuitwa STAR anatakiwa awe amekidhi viwango gani ktk hiyo industry? coz naona hapa kwetu kila actor/actress ni star.
Anayeweza kutusaidia kuclarify hii please...
Thanks