Superblack gani inafaa kupaka kwenye ndevu?

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Wakuu ndevu zangu naona haziko na color nzuri, so nahitaji nipate superblack nzuri ambayo ni special kwa ndevu au any black material ili ndevu zangu ziwe na muonekano mzuri zaidi.

Ipi ushawahi kutumia?

Nijuze hapa.
 
Uzee ni kama jua utake usitake litawaka tu,kubali kama umeshazeeka usipoteza pesa bure kwenye super black
 
Mm sio Mzee Wala mkongwe, Ila dhamira kubwa ni utanashati tu kama jukwaa lilivyo... All in all tusipangiane maisha
 
Back
Top Bottom