Wakuu ndevu zangu naona haziko na color nzuri, so nahitaji nipate superblack nzuri ambayo ni special kwa ndevu au any black material ili ndevu zangu ziwe na muonekano mzuri zaidi.
Ipi ushawahi kutumia?
Nijuze hapa.
Kwa hiyo unamsema PM wetu siyo!!?Uzee ni kama jua utake usitake litawaka tu,kubali kama umeshazeeka usipoteza pesa bure kwenye super black
Mm sio Mzee Wala mkongwe, Ila dhamira kubwa ni utanashati tu kama jukwaa lilivyo... All in all tusipangiane maisha