Haya nitajitahidi Rubani, lakini usikose kuangalia mchezo huu wa leo ambao unaaanza baada ya saa moja na hakika kama 18 hivi
N N kafungiwa? Tulikuwa tume bet hii game.
ali-bet kwa upande upi....?........I guess for NE
Sidhani kama kafungiwa labda ana wasiwasi kwamba NE wanaweza kupoteza mchezo 🙂 hivyo anasubiri kuangalia mchezo unaendaje.
Naona NE sasa mzuka umewapanda.