miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Asante mkuuPole sana miss chagga
Duh mkuu jino langu linaumiza kweliebu kuwa mpole kidogo waje miss
Acha, usitumie coz cdhan glue kam ni kwa ajili ya kutumika ktk miili ya bnaadam pia.... Utapata madhara, nenda kwa dentist atakusaidia tu! Io achana nayo, mbaya... c nzurHabari za jioni wakuu
Jino langu lilikuwa limejazwa sasa limekatika kule kwenye jino la kweli ikabaki ile chokaa.. nataka kutumia superglue kurudisha je kuna madhara kwenye jino?
Nimebaki na meno machache sana wasiwasi wangu sitaki kutoa jino sababu litakuwa jino la nane ..
View attachment 523415
Asanteni
Uwii nijianze mimi mkuu duhKILA KITU NI KUJARIBU MKUU
Asante mkuu nikaenda na kipande changu cha jino wanaweza kikirudishia?Acha, usitumie coz cdhan glue kam ni kwa ajili ya kutumika ktk miili ya bnaadam pia.... Utapata madhara, nenda kwa dentist atakusaidia tu! Io achana nayo, mbaya... c nzur
Duh naogopaDuuuh jarib tu mkuu
Nilikuwa naangalia njia rahisi .. ngoja nifanye hivyo weekendhahaha! samahani nimekucheka kwa hiyo tekinik yako...
kwanini usiende hospitali mkuu, waeleze utaki kung'oa jino lako wakupe njia mubadala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mbona hicho kiganja cha Mkono ni kama kiganja cha mwanaume
hahahahaha hacha hiyo mambo wakati unaona yuko na id ya miss ebu tumia maneno nzuri yakutima moyombona hicho kiganja cha Mkono ni kama kiganja cha mwanaume
Uko wapi nije kukuwekeaUwii nijianze mimi mkuu duh
nenda hospitali mkuu usijaribu kutumia super glue kugandishia jino kwa sababu am really sure ukifanya hivo itasababisha complication nyingine.Habari za jioni wakuu
Jino langu lilikuwa limejazwa sasa limekatika kule kwenye jino la kweli ikabaki ile chokaa.. nataka kutumia superglue kurudisha je kuna madhara kwenye jino?
Nimebaki na meno machache sana wasiwasi wangu sitaki kutoa jino sababu litakuwa jino la nane ..
View attachment 523415
Asanteni