Superglue kushikishia jino

We tumia tu miss chaga mambo yatakuwa safi.
 
Pole aisee usiweke super glue bila kumuona Dr.Mi naonaga nimeng'oa meno mengi mwenzangu we umeng'oa zaidi.Meno yanatesa ila nashkuru Mungu tangu mwaka jana sijaskia kuumwa hata kidogo.
 
Pole aisee usiweke super glue bila kumuona Dr.Mi naonaga nimeng'oa meno mengi mwenzangu we umeng'oa zaidi.Meno yanatesa ila nashkuru Mungu tangu mwaka jana sijaskia kuumwa hata kidogo.
asante mkuu na hongera .. me halijauma nilikuwa nakula popcorn nashangaa kitu kigumu kutema ndiyo jino langu hilo
 
Kwa sisi wataalamu wa kusoma viganja wewe mtu ni mfupi sana na miaka yako 33 ujitahidi kwenye huo mradi ulioanzisha maana ushindani ni mwingi
 
Mkuu kumbe umri unaelekea saa kumi na mbili jioni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…