nani amewahi kuona hii series ya superior day ya kikorea inatisha na ni nzuri ya kijana muuaji mchoraji anaua mtu alafu anamchora kwa kutumia damu jinsi alivyomkatakata movie nzuri japo inaogofya kama una roho ndogo inshort jamaa alikuwa ni kichaa