M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Nov 22, 2011 #1 wanajamii, kuna NGO inaitwa kickstart inayojishughulisha na utengenezaji wa pump za umwagiliaji ambazo ni manual. Kwa mwenye kuhitaji tafadhali aingie kwenye website yao na kisha akiridhika awasiliane nao. Webiste yao ni: www.kickstart.org
wanajamii, kuna NGO inaitwa kickstart inayojishughulisha na utengenezaji wa pump za umwagiliaji ambazo ni manual. Kwa mwenye kuhitaji tafadhali aingie kwenye website yao na kisha akiridhika awasiliane nao. Webiste yao ni: www.kickstart.org
M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Nov 22, 2011 Thread starter #2 namba yao ya simu ni 0756081911 email: kickstart.tz@kickstart.org