Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
hii ni kutoka kisiwa cha Fiji.
Jana UsikuDaah...hii imetokea lini?
Mleta mada, hiyo mbona ni picha ya OMAN?
Mkuu,
Jamaa zetu kwa utapeli ndiyo zao.
Middle East - sultanate of Oman Muscat harbour
Sio mmeiba hii picha??
Kakuibia weye?...wajuaje kalipiga picha mwenyewe au ipo wazi kwenye mtandao kwa matumizi ya umma ulimwengu mzima?
Unafaa kuchunguzwa akili weye!