Suphian Juma
Senior Member
- Apr 2, 2019
- 140
- 577
SIJAITUPA TASNIA YA HABARI.
Kuna watu walipendezwa mno na kipaji changu katika tasnia ya habari, na hivyo kunisihi kutoacha kufanya jambo licha ya kuendelea na tasnia ya siasa sasa...
Jamani Ahsanteni sana kwa kunijali; namalizia maandalizi ya kuanzisha Online TV yangu nitakayoajiri vijana kuiendesha kwa kiwango cha kisasa na ubunifu mkubwa. Na wenye kupenda kunisapoti kufanikisha hili milango ipo wazi.
TUOMBE UZIMA!!
Suphian.